Msanii wa Bongo Fleva, cyrill Kamikaze ameamua kurudisha fadhila kwa jamii baada ya kuamua kuwasomesha watoto wa mitaani walioshindwa kusoma kutoka na wazazi wao kutowasomesha kwa sababu mbalimbali ikiwemo ada ya shule.
Msanii amefunguka kuwa watoto hao alikutana nao alipokuwa kwenye shughuli za kikazi mkoani Mbeya na watoto hao wanaanza kusoma katika shule iliyopo mkoani humo.Akizungumzia atawasomesha hadi elimu gani alisema kuwa hadi uwezo wake utakapoishia.
0 comments:
Post a Comment