Basi la Sharon T349 CXB linalofanya safari kutoka Arusha ,Singida,Dodoma likiwa limepata ajali majira ya saa moja na robo leo asubuhi katika maeneo ya uwanja wa Ndege Kisonga jijini Arusha ,baadhi ya majeruhi wamepelekwa hospital ya Mountmeru kwaajili ya matibabu na abiria ambao hawajapata majeraha wameendelea na safari
angalia picha zaidi hapo chini ana endelea kufuatilia habari zetu hapa kwa utajuwa undani zaidi wa habari hii
0 comments:
Post a Comment