Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akiongozana na Mhe. Robert Makaramba alipopokelewa mapema leo katika Uwanja wa Ndege Mwanza, nyuma ni baadhi ya Maafisa wa Mahakama wa Mkoani Mwanza waliofika kumpokea Mhe. Jaji Mkuu.
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (kushoto). akifurahia jambo na Mhe. Jaji Robert Makaramba, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, katika chumba maalum cha wageni (VIP room) alipofika mkoani Mwanza mapema leo tayari kwa ziara ya Kutembelea Mahakama mkoani Tabora atakayoanza rasmi kesho.
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisaini kitabu cha wageni katika chumba maalum cha wageni (VIP) katika Uwanja wa Ndege jijini Mwanza. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania).
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na mmoja wa Maafisa wa Polisi Mkoani Mwanza alipowasili katika Uwanja wa Ndege Mwanza mapema leo kwa ajili ya safari ya kuelekea mkoani Tabora, ikiwa ni pamoja na kukagua utendaji kazi wa Mahakama mkoani humo.

0 comments:
Post a Comment