2015-02-25

JB Ataja Waigizaji Ambao Anavutiwa Kuigiza Nao



“Leo nimejisikia kuwataja waigizaji ambao navutiwa kuigiza nao.naanza na wakina mama huyu (Bi Hindu) kwangu ni namba 
moja. Ana heshima na mbunifu. sana ingawa Bi Mwenda na mama Tecla Mjata nao wako moyoni mwangu”-JB aliandika haya mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Bi Hindu.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...