Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora,ACP Suzan S. Kaganda akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) silaha zilizokamatwa na Jeshi la Polisi mkoani humo katika Opereshen kali iliyokuwa ikifanyika.
ambapo walikamatwa watuhumiwa watano wakiwa na silaha hizo aina ya SMG mbili No AB-018-0414 na EE 125419 zikiwa na risasi 25 na Gobore tatu,baruti na goroli pamoja na vipande vya nondo.
Watuhumiwa hao walikamatwa katika maeneo ya Igunga,Kaliua na Sikonge mkoani Tabora.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora,ACP Suzan S. Kaganda akiongea na waandishi wa habari waandishi wa habari (hawapo pichani).
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora,ACP Suzan S. Kaganda akionyesha sare za JWTZ zilizokamatwa kwa watuhumiwa hao.
0 comments:
Post a Comment