Moja ya story ambazo zilichukua headlines kwenye MAGAZETI kuanzia wiki iliyopita ni taarifa ya kuwepo kwa mgogoro kati ya staa wa muziki za Zouk Tanzania, Stara Thomas na mume wake huku sababu ikiandikwa kwamba mume huyo alimfumania mke wake na mtu mwingine.
Soudy Brown leo kamtafuta mwanamuziki huyo na kumuuliza ishu hiyo, Stara amesema inahitaji busara kulizungumzia hilo hivyo kwa sasa yuko kimya lakini ataongea kila kitu wakati sahihi ukifika.
0 comments:
Post a Comment