2015-02-14

Mkali Drake kama Beyonce, nae kimya kimya, Fans wake wapewa "supr!s3"

Drake 
Mkali wa tuzo za Grammy Drake ameamua kuiga style ya Beyonce ya bila kutangaza kutoa albamu kwa kuachia albamu yake mpya yenye nyimbo 17 kwa kuwashtukiza mashabiki wake. 


Drake alitoa albamu yake hiyo inayoitwa ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ jana Alhamisi kwa kuipost kwenye Twitter ambayo amewashirikisha mastaa mbalimbali kama Lily Wyne, Travi$ Scott na PartyNextDoor, 
Drake ameendelea kufanya vizuri ambapo katika albamu yake iliyopita ya ‘Nothing Was the Same’ aliweza kufanya vizuri na kushika nafasi ya kwanza katika billboard mwaka 2013 na kufanikiwa kuuza kopi 658,000 katika wiki ya kwanza tu. 

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza


STARA THOMAS AFUMANIWA....achezea kipigo takatifu,,bofya hapa kuona

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...