HALMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO
(Barua zote za kiofisi zitumwe kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji (W)
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Simanjiro anakairbisha maombi kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 4 za kazi kama zilivyoorodheshwa katika tangazo hili
1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III (Nafasi 3)
1.1. KAZI NA MAJUKUMU
i. Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
ii. Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao kuwa mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji
iii. Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji mpango wa Maendeleo ya Kijiji
iv. Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
v. Kutafsiri na kusimamia sera, sharia na taratibu
vi. Kuandaa taalifa za utekelezaki wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali
vii. Kuongoza wakuu wa Vitengo vya Kitaalamu katika kijiji
viii. Kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji na
ix. Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata
x. Kupokea na kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
xi. Kusimami kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za kijijio
1.2. SIFA ZA MWOMBAJI
Elimu ya Kidato cha nne (IV) au sita (W) na mafunzo ya Astashahada/cheti katika moja ya fani zifuatazo, Utawala, Sheria, Elimu ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamiii na sayansi ya sanaa kutoka katika chuo cha Serikali za mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
1.3. MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya mshahara TGS.B
MAELEZO YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
(i) Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
(ii) Waombaji wote waambatanishe nakala za vyeti vy kuzaliwa walivyonanvyo kwenye barua za maombi ya kazi
(iii) Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye anwani na namba za simu kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika
(iv) Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidao cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho na vivuli vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika
(v) Testimonies “Professional results” “Statements of result” hati ya matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND VI RESULT SLIPS) HAVITAKUBALIWA
(vi) Wombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakkishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA)
(vii) Waombaji ambao walioshaafishwa katika Utumishi wa UUma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha katibu Mkuu Kiongozi Ofisi ya Raisi Ikulu
(viii) Waombaji kazi ambao ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia kazini walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelezo yaliyo katika Waraka Na. CAC 45/257/01/01/140 wa tarehe 30 Novemba 2010
(ix) Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika waelewe kwamba watachukuliwa hatua za kisheria
(x) Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25 Februari, 2015, saa 9:30 jioni
(xi) Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anwani ifuatayo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
SLP 14384
ARUSHA
MARCIS L. KISAKA
KATIBU WA BODI YA AJIRA
HALMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO
Source: Majira 9th February 2015
========
HALMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO
(Barua zote za kiofisi zitumwe kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji (W)
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Simanjiro anakairbisha maombi kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 4 za kazi kama zilivyoorodheshwa katika tangazo hili
2. NAHODHA DARAJA II - (Nafasi 1)
1.1. KAZI NA MAJUKUMU
(i) Kubuni na kuunda zana za kuvua samaki (Fishing Gears)
(ii) Kutunza na kutengeneza zana za kuvulia samaki
(iii) Kuongoza na kuendesha meli/Boti ndogo za futi 40 zenye uzito wa kuandikishwa wa tani 50 - 200 (GRT)
(iv) Kuendesha shughuli za uvuvi katika Boti
1.2. SIFA ZA MWOMBAJI
Elimu ya kidato cha sita (VI) mwenye Mafunzo ya Stashahada (Diploma) ya Unahodha na uvuvi (master Fisherman) kutoka Chuo cha Uvuvi Mbegani au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali
1.3. MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS C
MAELEZO YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
(xii) Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
(xiii) Waombaji wote waambatanishe nakala za vyeti vy kuzaliwa walivyonanvyo kwenye barua za maombi ya kazi
(xiv) Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye anwani na namba za simu kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika
(xv) Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidao cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho na vivuli vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika
(xvi) Testimonies “Professional results” “Statements of result” hati ya matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND VI RESULT SLIPS) HAVITAKUBALIWA
(xvii) Wombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakkishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA)
(xviii) Waombaji ambao walioshaafishwa katika Utumishi wa UUma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha katibu Mkuu Kiongozi Ofisi ya Raisi Ikulu
(xix) Waombaji kazi ambao ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia kazini walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelezo yaliyo katika Waraka Na. CAC 45/257/01/01/140 wa tarehe 30 Novemba 2010
(xx) Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika waelewe kwamba watachukuliwa hatua za kisheria
(xxi) Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25 Februari, 2015, saa 9:30 jioni
(xxii) Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anwani ifuatayo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
SLP 14384
ARUSHA
MARCIS L. KISAKA
KATIBU WA BODI YA AJIRA
HALMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO
Source: Majira 9th February 2015
0 comments:
Post a Comment