Wanajeshi wa Nigeria wamesema kuwa wamewauwa zaidi ya wapiganaji 300 wa kundi la Boko Haram
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limewauwa zaidi ya wapiganaji 300 wa Boko Haram, baada ya jeshi la nchi hiyo kutwaa tena miji kadhaa iliyotekwa na wapiganaji hao kazkazini mashariki mwa Monguno.
0 comments:
Post a Comment