2015-02-24

Nishidaaaaaaaaaaaaaa Msanii Chege anaswa live na ndumba jukwaani. .Hirizi Yaning'inia Live Mkononi



Katika bonanza lilopigwa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma la Pspf..picha iliopigwa jukwaani wakati mshakaji akiwa busy kukata mapanga...pengine ile dhana ya wasanii na ndumba ni dam dam inaanza kujidhihirisha ..

No wonder Ally Kiba alipanda ukuta baada ya kuona hali ya sintofahamu ...na alikwepa kushiriki project ya Lekadutigite..mdogo wake akajifanya mbishi kwenda Kigoma Kuperform alichokipata ntawaleteeni uzi spesheli...

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...