Maafisa wa polisi nchini Tunisia
Tunisia imesema kuwa polisi wanne wameuawa kwenye shambulizi lilitokea katika mkoa wa Kasserine uliopo karibu na mpaka na Algeria.
Wizara ya ndani ilisema kuwa tukio hilo lilifanyika eneo la Boulaaba.
Shambulizi hilo lilifanyika eneo ambapo kundi lililo na uhusiano na mtandao wa Al Qaeda la (Okba Ibn Nafe'a) linaedesha harakati zake.
0 comments:
Post a Comment