2015-02-05

VPL: Matokeo ya mechi ya Yanga Vs Coastal Union yako hapa



Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo, Timu ya Yanga SC ilikuwa kwenye dimba la Mkwakwani Tanga ambapo wanajangwani hao walikuwa wakichuana na wenyeji wa Tanga, Coastal Union mechi ambayo imeisha muda mfupi uliopita. 

Katika mechi hiyo dakika 90 zilikamilika pamoja na zile tatu za nyongeza kwa Yanga kushinda goli 1-0 dhidi ya Coastal Union. 
GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...