2015-02-03

YANGA YAZINDUA TAWI JIPYA WILAYANI-----MOTO UMEWAKA

Mashabiki wa Yanga wakiwa katika uzinduzi wa tawi lao wilayani Muheza, Tanga.
YY
Uzinduzi wa tawi jipya ukiendelea.

Basi la Yanga na Coaster ya mashabiki vikiwa katika eneo la uzinduzi wa tawi hilo.

Wachezaji wakirudi kwenye basi lao baada ya uzinduzi kumalizika.

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm jana amewaongoza mamia ya mashabiki wa timu hiyo wilayani Muheza mkoani Tanga kufungua tawi jipya.

Tawi hilo limefunguliwa eneo la Majengo-Shimoni wilayani humo wakati timu hiyo ikielekea Tanga mjini kwa ajili ya mpambano wao dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Uwanja wa Mkwakwani hapo kesho.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...