2015-03-04

DOUGIEMASTA AMPONDA ZARI ETI HANA MAKAZI MAALUM PAKULALA MARA ALALE BAHARINI MARA KWENYE MABOTI KAMA MVUVI



haya dougie masta awachamba teamzari na wafuasi wake : nyie team tusi na ush#z munikome sawa eeh habari za kuleta harufu zenu chafu kweny accnt yangu mukome mnarokoka kabla hamjaropokeshwa kunasehem mmeona nimeandika zari o zainabu cjui zaituni....
ndio nimeweka fake mimba sasa kama mnajua anamimba mbona mnawashwa inamaana hana mimba na yeye anatumia mipira au...tena mnikomea sasa kama mnatafuta attetion dk zangu 4 tu nawapatia tusi zenu kwalipi mpaka nimuonee wivu pakulala hana anakesha kwenye maboti utasema mvuvi na maswimming pool utasema nyambizi hiv huyo zari wenu ananini kwanza yani kama ningeamua kujiweka hanifikii hata 

kidole na mguu wako ulokosa shepu we mtu mguu gani hujui kigimbi kiko wap goti wala unyayoo umeenda moja kwa moja kama bakola ya mzee afu mnajifanya namuonea wivu ahhahahaha wivu ya show off au ya nn msione tumekaa kimya mkajua labda naogopa o sina cha kuongea kabla hamjaanza kubwabwaja mmngemwambia boss wenu awaambie ukwel kweny ile hotel alikaa siku ngapi na alilala wap sio mnaropoka ropoka ovyo kama mnawashwa semeni niwapeni pilipili msukutuwe...naona mmeona nimekaa kimya simuongelei sasa mnaanza fufuka zari zari ndo nini sasa...
basi ndio mimba yake fake nishasema live tuone mtanifanya nini na bado mwaka huu show off zitaingia mitini sasa cjui selo uganda kuna instagram cz soon safari inamwita....mso haya mama jitu zima badala kujali watoto wake liko busy tusi lake kwanza ndo tumuonee wivu maana kule tusi kwake kuchafu utasema kamwagiwa tusi..na ww nyampua huko unaniogopa nitaje live usiniwekee mafumbo ndio sintah yani ww nakustai kwa macho maana kwa vidole ntakuumbu tena mkomeee...
kama sijamuongelea mtu niacheni msinilazimishe ahhahahajaja halo mie bora yang na boss wang tunaishi kwenye nyumba zenye majina yetu haya nyie mnaomtegemea bwana matokeo yake anakutililisha ukiomba taraka hakupi hahahajajajajajjajajajajaja TEAM UWONGO NA SHOW OFF LILE GARI VIP ww mimba ya kichawi au leo flati kesho tumbo hilooo ahahhahaja embu mie niwazeni niwafikilie tena Duuuh haya wadua wa makubwahaya hayo ndio mambo ni michambo inayoendelea huko kwenye mitandao ya kijamii ya instagram

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...