Mhe. Ziti Kobwe akiwasili katika viwanja wa Ofisi ya Chama cha ACT Tawi la Tegeta kwa ajili ya kujiunga rasmin na Chama hicho na kukabidhiwa Kadi yake ya Uwanachama.
Mhe Kabwe akijaza Fomu yake ya kujiunga na Chama cha ACT alipowasili katika Tawi la ACT Tegeta jana. ili kujiunga rasmin na Chama hicho.
Wanachama wa Chama cha ACT wakimshindikiza Mhe Kabwe alipofika katika Tawi la ACT Tegeta kujiunga na Chama hicho wakiwa katika Ofisi hizo huko Tegeta.
Mhe Kabwe akilipa Ada ya Uanachama wakati alipofika katika Ofisi za ACT Tawi la Tegeta kujiunga rasmin na Chama hicho.
Mhe Kabwe akitoka katika Ofisi za Chama cha ACT Tawi la Tegeta Mjini Dar-es-Salaam. jana baada ya kufika kastika Tawi hilo kujiunga rasmin na ACT baada ya kungatuka katika Chama cha Chadema hivi karibu na kujiuzulu Ubunge wake wa Kigoma
Mhe Kabwe akisalimiana na Wanachama wa Cha cha ACT, baada ya kumaliza taratibu za kujiunga na Chama hicho katika Tawi la Tegeta na kukabidhiwa Kadi yake na Mwenyekiti wa Tawi hilo
0 comments:
Post a Comment