Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi
mmoja ya wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari
ya eneo hilo kupatiwa huduma ya macho.
Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin
akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi
linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.
Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri
huduma ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka
Shirika la Spacsaver la Sweeden na
madaktari wa Hospitali Kuu ya
Mnazimmoja katika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.( Picha na Makame
Mshenga-Maelezo Zanzibar. )
0 comments:
Post a Comment