Ni kauli aliyoitoa jana Ijumapili Machi 08,2015 kupitia kituo cha Televisheni cha Channel Ten wakati akiongoza ibada huku akishangiliwa na mamia ya waumini wake.. Kati ya mambo yaliyostaajabisha wadau wengi ni lugha ya matusi iliyotolewa na kiongozi huyo mkubwa wa dini ya kikristo.
Anasema:- habari ya mjini kwa sasa ni kusali na wanaosema ibadani hakuna jipya waache ''ufala''
0 comments:
Post a Comment