2015-03-19

Ni hatari sana:HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA TUNDUMA BAADA YA VURUGU KALI


Rpc msangi akipita mtaani kuongea NA wananchi akiwasisitiza hali ya Aman itawale Mjini Tunduma



WAKINAWA USO KUFUTA MOSHI WA MABOMU YA MACHOZI



HII NDIYO HALI HALISI ILIVYOKUWA TUNDUMA JANA MCHANA 


JAMAA KASHIKA BOMU HALIJATUMIKA BAADA YA KUMNYANG'ANYA ASKARI KISHA KATIMUA MBIO






HAWAGOPI MABOMU




DIWANI WA TUNDUMA FRANK MWAKAJOKA AKIWALEZA KILICHOMSIBU BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI KUSHOTO MBUNGE SILINDE

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...