Baada ya Ali kiba kuachia single mpya iitwayo Cheka Chaketua hivi karibuni, sasa basi good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single yake mpya iitwayo Wanjera inayotarajiwa kuachia kesho tarehe 13, 2015.
Kwenye kava hizo zinamuonesha Ommy Dimpoz yuko na ms
anii wa Bongo Movies, Wema Sepetu.
Credit:Millard Ayo:com
0 comments:
Post a Comment