2015-03-17

RIHANNA LIVE AKIWA KWENYE MITAA YA NEW YORK........ni baada kimya kirefuuuuuuuuuuuu


Baada ya kuwa aonekani mara nyingi machoni pawatu mwanadada huyu super star Rihanna.Aonekana jana asubuhi pande za New York akikatiza katika mitaa na kuingia katika Super Market moja jijini hapo na kufanya mapapalazi kumgoja kwa saa4 mpaka alipotoka na kumpiga picha.


 


Akiwapungia baadhi ya watu mikono walio kuwa wakimtizama super star Rihanna






Maeneo ya bataz akiwa anapiga stori na marafiki zake kushoto anaitwa Marry Jackson rafiki yake wa karibu sana.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...