2015-03-13

Video Iliyorekodiwa Kwa Simu Wakati Majambazi Walipopora Bunduki na Kuiba Jijini - Dar



Video iliyopachikwa hapo chini (imepatikana via WhatsApp) inaonesha tukio la leo Alhamisi, Machi 12, 2015 la majambazi wakivamia na kisha kupora fedha kutoka kwenye maduka katika eneo la Mikochieni mitaa ya kwa Mwalimu Nyerere kutoka 
kwenye ATM ya CRDB na duka la vinywaji la Mohans na maduka mengine ya jirani, ambapo inasadikiwa kuwa kiasi cha shilingi milioni 100/= kilichukuliwa.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...