2015-01-09

UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA MAENEO MBALIMBALI JIMBO LA TEMEKE


Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja
 na wagteni wao kutoka vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York na University of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, leo kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo hilo, kwa ajili ya kujifunza na 
kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo Mtanzania, Profesa Dan Nyaronga wa Chuo Kikuu cha Buffalo nchini Marekani.Mtemvu akiwa na mdau wa maendeleo katika jimbo loa Temeke, Fiona Barretto wakati wa mapokezi ya ugeni huo kwenda wa mkuu wa wilaya ya TemekeProfesa Dan akizungumza katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Temeke, baada ya ujumbe huo kukutana na mkuu huyo wa wilaya, Sophia Mjema, wa pili kushoto,Mkuu huyo wa wilaya akizungumza Ugeni huo kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Temeke leoMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akisalimiana na Binti wa Mtemvu, Siti Mtemvu wakati msafara ulipoingia ofisini kwa mkurugenzi huyo leoMtemvu akiwa katika picha ya pamoja ana viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya TemekeWanahisa wa Mfuko wa wa Kupambana na Umasikini Temeke -TFP, wakiulaki ugeni wa Mtemvu na Wamarekani hao ulipowasili kwenye Ofisi za TFP leoMtemvu akizungumza na wadau wa PFTProfesa Dan Nyaronga akizungumza na wadau wa mfuko huo wa PFTBinti wa Mtemvu Sitti akisalimia wanachama wa mfuko huoMtemvu na ugeni wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Mfuko wa PFT baada ya mazungumzo ya kubadilishana uzoefu wa anamna ya kuondoa aumasikini katika jamiiMkurugenzi wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, akiwa na baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu hivyo ya Marekani ambao ni miongozi mwa waliokuwa katika ugeni huo wa Mtemvu, hapa ilikuwa kwenye ofisi za PFT.Mbunge wa Temeke, Mtemvu akipata chakula cha mchana na ugeni wake katika hoteli ndani ya jengo la Quality CentreMaofisa katika Ofisi ya Mbunge wa Temeke, wakaiwa kwenye hoteli wakati wa chakula hicho cha mchana.Polisi wa usalama barabarani akiongoza msafara wa ugeni huo kutoka Quality Plaza kwenda Hispitali ya Rufani ya mkoa wa Temeke kuendelea na ziaraUgeni ukipata maelezo mbalimbali katika ukumbi wa hospitali hiyoMsafara ukitoka ukimbini baada ya mazungumzo hao. Kulia ni Mgaga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Temeke, Dk. Amaani MalimaDk. Malima akitoa maelezo kwa wageni hao katika chumba cha kujifungulia kwa upasuajiDk. Malima akiendelea kutoa maelezo kwa ugeni huoBinti wa Mtemvu Sitti Mtemvu akigawa chandarua kwa Devota Boniface, mama mzazi aliyejifungua katika hospitali hiyo ya Temeke.,Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa hospitali hiyo ya Temeke. Kulia ni Mgaganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke, Dk. Sylvia Mamkwe.Watoto katika kituo cha watoto yatima cha Makao, Kurasini,Temeke Dar es Salaam, wakisubiri ugeni huo wa wamarekani, ulipowaili kwenye kituo hicho.Mmoja wa wageni kutoka Marekani Leanne Thomas wa State University of Buffalo, akifurahia kuchezea nyoka wakati kikundi cha ngoma cha Sanaa cha Hisiaa Theatre Group kwenye kituo hicho cha yatima, KurasiniMtemvu akijitwisha nyoka kujaribu kama walivyokuwa wakifanya wasanii wa kikundi hicho cha sanaaProfesa Dan Nyaronga naye akijitwisha nyokaMmmoja wa wageni hao kutoka Marekani akishangilia baada ya kubebeshwa nyoka na wasanii wa kikundi hicho cha ngomaMmoja wa wanafunzi akibeba nyoka ya wasanii haoMtemvu, mkewe na mtoto wao Sitti wakifurahia kubeba nyoka wa kikundi hicho cha sanaaMtemvu na msafara wake wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa kikundi hicho cha sanaaMama mlenzi wa kituo cha Makao ya watoto wenye shida cha Kurasini, Betrice Mgumiro akizungumza wakati Mtemvu na ugeni wake walipitembelea kituo hichoSitti Mtemvu akimkabidhi chandarua mtoto kwenye kituo hicho cha Makao cha watoto wenye shidaProfesa Dan akikabidhi chandarua kwa watoto wa kituo hichoLaurien Martinek wa Marekani ambaye yupo katika msafara huo wakigawa chandarua kwa Fatuma Jabiri wa kikundi hicho cha sanaaMdau wa maendeleo jimbo la Temeke, Fion Barretto akigawa chandarua kwa msanii huyoSitti akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliogawiwa chandaruaMtoto Baraka Rashid, kutoka kituo cha watoto wenye shida cha Kurasini akitoa shukrani baada ya ugeni kugawa vyandarua kwa watoto kadhaaUgeni ukionyeshwa mifungo kwenye kituo cha watoto yatima kwa ajili ya kitoweoMmoja wa wageni hao akichukulia ndani ya jengo ambalo limebaki gofu kutokana na kutokuwa na vifaa mbalimbali vya kujifundishia ufundi ikiwemo vyerehani. Picha zote na Khamisi Mussa Vijimambo

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...