2015-02-17

Mashabiki wamemjia juu Aunty Ezekiel,kisa-------------- nguo za kubana ambazo hazistahili kwa mjamzito. bofya Hapa Uwone Mambo

Mashabiki wamemjua juu staa wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel baada ya kupost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa ameshika chupa ya pombe na kuvaa nguo ambazo hazistahili kuvaa mama mjamzito. godfreymtenga Ila uangalie mavazi wakati wa ujauzito.hiyo kaptula hapana vaa vigauni

stakishobo19 Aunt my kama hako ni kabia achana nacho bwana usitusumbulie kababy ketu jamani vumilia kwanza

kiria_lazaro Umshka pombe, inamadhara kwa mtto in u f****** stomach


mariousmiley Anti naona unatumia mvinyo....acha dada tutaalibu mtoto wetu huyo bwana....mwaaaa.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...