2015-02-21

MKURUGENZI WA TIMES FM AMPA MKONO WA POLE BI ESTA BUGANDO, MWANZA




Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm, Mr. Rehure Nyaulawa akiwa hospitali Bugando Mwanza alipoenda kumpa mkono wa pole bi Esta Jonas ambaye mtoto wake wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi (albino) aliyekutwa na majanga kukatwa mikono na miguu na watu wasiojulikana. 
GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...