2015-03-24

Johari: Thamini Kinachokupa Thamani

 
Kiukweli huyu ni moja kati ya wanawake wanajituma na kufanya kazi kwenye tasnia hii ya Bongo Movies, amekuwa ni bora kwenye kucheza na kuongoza filamu, amewasidia wengi kutoboa kwenye tasnia kupitia kampuni yao ya RJ, utakubaliana na mimi huyu moja kati ya wanawake wanaojielewa sana kwenye tasnia, sio mwingine ni Blandina Chagula “Johari”. 

Mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu matandaoni, akiwa ofisini kwake aliandika “Thamini kinachokupa thamani” huu ni ujumbe mzito sana kwetu. 

Hongera sana Johari na uendelee kujituma zaidi.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...