STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekiri kuwa ubize wake katika masomo umemzuia kwa kiasi kikubwa kupata muda wa kufikiria mambo ya kijinga na hata kujirusha.
Staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
/span>
“Jamani kama mimi sasa hivi sina hata ninachokiwaza zaidi ya masomo yangu na mitihani ninayokutana nayo yaani hata muda wa kusema utaenda Club, hakuna nafasi kabisa katika kichwa, hivyo nimeamini kuwa ukiwa bize na masomo akili za ajabu hazipo kabisa,” alisema Lulu.
0 comments:
Post a Comment