Mtoto wa miezi 18 amenusurika kifo huku mama yake akipoteza maisha baada ya kukaa kwenye barafu masaa 12 kutokana na gari lao kupata ajali kwa kugonga daraja na kudumbukia ndani ya mto Utah nchini Marekani
Mama wa mtoto huyo Lynn Jennifer Groesbeck amepoteza maisha kwenye ajali hiyo huku mwanae akiponea chupuchupu baada ya kuokolewa na mvuvi.
Familia ya mama huyo imesema Lynn alikumbwa na dhahama hiyo wakati akiwa njia kurudi nyumbani.
Polisi wamesema kabla mama huyo hajadumbukia kwenye mto aligonga pembezoni mwa daraja hilo
0 comments:
Post a Comment