2015-03-09

Ni bonge la bwanaaaaaa!!!!! AMA KWELI MAISHA NI SAFARI MCHEK JB


Ule usemi wa kuwa hakuna mtu mwembamba umejidhuhilisha hapa kwa Staa huyu wa Bongo Movies, Jacob Stephen “ JB”.Hapo juu ni picha za JB akiwa katika umri na wakati tofauti. Moja ya zamani na nyingine ya sasa.Asante sana Steve Nyerere kushare nasi picha hii.

Maisha haya...huyo ndio Bonge la bwanaaa!!

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...