Mwanamke mmoja kutoka nchini Uingereza Harnaam Kaur amesema anavutiwa kuwa na nywele za usoni na anaona ni fahari kwake kuwa na ndevu nyingi, ndevu za mwanadada huyo zilianza kuota akiwa na umri wa miaka 11.
Harnaam ana matatizo ya homoni ambayo yamemsababishia kuota nywele mwili mzima ikiwa ni pamoja na kifuani (Love garden) na mikononi.
Mwonekano wa mwanadada huyo wakati akiwa ana ndevu
Mwanadada huyo alijitahidi kuzipunguza na kunyoa lakini ilishindikana kwahiyo ameamua kujiami kukaa na nywele zake ingawa vijana wa rika lake uwa wanamuona mtu wa ajabu.
0 comments:
Post a Comment