2015-02-18

Sad Neeeeeeeeewzzzzzzzz: Mtoto Albino akutwa ameuwawa kikatili......bofya hapa kuona picha zaidi




Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Joseph Konyo pichani.(Picha na Maktaba) 

Mwili wa mtoto wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyeporwa mikononi mwa mama yake juzi Mkoani Geita, umekutwa jana jioni ukiwa umekatwa miguu na mikono yote na kufukiwa ardhini kwenye hifadhi ya msitu wa Biharamulo, Wilayani Chato.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...