Mwimbaji Shaa amesema kuwa baada ya ‘Sugua Gaga’ kufanikiwa kumtambulisha kimataifa mwaka jana (2014), ana mpango wa kuendelea kufanya nyimbo za aina hiyo mwaka huu.
Shaa ambaye video ya Sugua Gaga ilifanikiwa kuwa video ya msanii wa Tanzania iliyotazamwa zaidi mwaka jana kwenye mtandao wa Youtube, amekiri kuwa hakutarajia mafanikio hayo wakati anautoa wimbo huo. […]
0 comments:
Post a Comment