Ligi ya England itaendelea tena leo kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto katika michezo ya mzunguko wa raundi ya 26.
Vinara wa ligi Chelsea watakua katika uwanja wao wa nyumbani Stamford Bridge kuwakabili Burnley walioko nafasi ya pili toka mkiani Mwa msimo wa ligi.
Vinara wa ligi Chelsea watakua katika uwanja wao wa nyumbani Stamford Bridge kuwakabili Burnley walioko nafasi ya pili toka mkiani Mwa msimo wa ligi.
Man City walioko nafasi ya pili kwa watawakaribisha Newcastle katika dimba la Etihad Stadium,huku Man United wakisafiri mpak kwenye uwanja wa Liberty Stadium kupetetana na Swansea.
Arsenal nao watakua ugenini katika uwanja wa Selhurst Park kuwakabili Crystal Palace katika kuwania alama tatu muhimu.
Michezo mingine itakuwa na kati ya Aston Villa dhidi ya Stoke utakaochezwa Villa Park,Hull City watachuana na QPR Sunderland watakua wenyeji wa West Brom katika mchezo utakao pigwa kwenye dimba la Stadium of Light.
0 comments:
Post a Comment